Sponsor

banner image

recent posts

kwanini unafumba macho wakati wakumake love?



Naona kama inatokea tu bila kupanga ila nahisi sababu ni kama ifuatavyo kwangu mimi
1.aibu tu...hii kitu haizoeleki(styl yoyote mi macho nafunga)
2.huwa ni giza kwa hiyo hata nikifungua macho sioni chochote(imagne umemuoa mtu anajua kufanya mapenzi ni usiku tu hahhahahah)
sijasema watu hufumba macho lakini hii kitu naiona kwangu
je wewe hufumba macho ni kwanini
kwanini unafumba macho wakati wakumake love? kwanini unafumba macho wakati wakumake love? Reviewed by Love Psychologist on May 04, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.