Sponsor

banner image

recent posts

Matajiri mnaotongoza visichana vidogo vyenye maisha duni na kwao ni maskini sana muwe makini sana


Hata kama una uwezo wako mkubwa wa kifedha, ukipenda sana kutongoza wasichana wadogo na wenye maisha duni ambao kwao maskini sana ipo siku watakulia kete, lazima kila kukicha utakuwa unasomewa ramani tu hutakwepa hili, yatakayo kukuta Mungu anajua.

Omba mwenyezi Mungu akuepushe na janga lolote lile kutoka kwa hawa viumbe vinginevyo sijui tutasikia habari tu.

Mara oh baby nataka nifanye biashara niwe na jitegemea nisiwe nakuomba hela mara zote, mwanaume muwekee mpango wa kumtimizia mahitaji yaendane na uwezo wako kwa muda huo na siku hiyo.

Mara oh nina mimba yako uko tayari kulea hicho ni kipimo anakuuliza kama umekubali umpe pesa kwa ajili ya security ya mtoto doh tutayaona mengi hapa duniani.

Hamu ya kutongoza tongoza imekata kabisa, rasmi kuanzia leo nimeamua nitulie.
Matajiri mnaotongoza visichana vidogo vyenye maisha duni na kwao ni maskini sana muwe makini sana Matajiri mnaotongoza visichana vidogo vyenye maisha duni na kwao ni maskini sana muwe makini sana Reviewed by Love Psychologist on May 03, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.