Sponsor

banner image

recent posts

Mume wangu anapenda tu kifo cha mende



Wadau nawasalimu.

Jamani mimi simuelewi mume wangu, kunako 6 x 6 yeye hataki style nyingine zaidi ya kifo cha mende mie nachoka, najitahidi kubadili mikao labda mie juu yeye chini anaigeuza fasta hataki..doggy style nayo ananigeuza fasta hataka namwambia tusimame basi hataki tupo kwenye ndoa mwaka wa pili sasa, hata wakati wa uchumba alikuwa hivyo..

Sijui nitumie njia gani ya kumfanya ajue mapenzi sio kifo cha mende peke yake mi nachoka yaani nimeshakremisha sasa atakachonifanyia hata kwenye romance pia hanitomasi tomasi akinichezea huko chini kidogo na kuninyonya maziwa basi kamaliza nampenda sana mume wangu sijui nifanyeje abadilike.
maoni yenu ya kujenga yatasaidia tafadhali.
Mume wangu anapenda tu kifo cha mende Mume wangu anapenda tu kifo cha mende Reviewed by Love Psychologist on May 03, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.