Sponsor

banner image

recent posts

Ngumu kuwa na rafiki wa kiume



Tumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia mwenyewe madhaifu aliyonayo kwa warembo...

Wakuu inamaana siwezi pata rafiki kama rafiki tu wakubadilishana nae mawazo na si kushiriki nae tendo(mahusiano)
Ngumu kuwa na rafiki wa kiume Ngumu kuwa na rafiki wa kiume Reviewed by Love Psychologist on May 04, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.