Sponsor

banner image

recent posts

Pipi ya Kijiti katika Tendo la Wakubwa


Nakumbuka Enzi hizo pipi za Kijiti ndio zimeingia ingia mjini Dar Miaka yetu ya wahenga!

Ukishika pipi ya Kijiti unaanzaje kuimba!
pipipi pipi ya Kijiti eeeee 🤸🤸
Pipipi pipi ya Kijiti 🤸🤸🤸

Tukakua, tukawa wakubwa tukaja kukutana na pipi zenyewe SA za Kijiti 🙊😋

Nipo hapa nimechill bedroom na mume 😂 ametoka kuoga mtupu, naiangalia pipi yangu ya Kijiti masha-allah!!

Kweli Mungu alijua kunibariki!

Hakuna kitu kitamu kama pipi ya Kijiti uuuuwi
Pipi weeeeeeeee unaweza muombea Mwenza wako asiende 🙏
Maana akienda Kwa Baba Nani atakupa pipi ya Kijiti?

Wale wazee wenzangu mliokubuhu kwenye vijiti mupoooo?

Utasikia Ice Cream za Azam za Ukwaju Tamu Ila me nasema haijafika pipi ya Kijiti 🤸🤸🔥🤸🤸🔥🤸🤸🔥
Pipi ya Kijiti katika Tendo la Wakubwa Pipi ya Kijiti katika Tendo la Wakubwa Reviewed by Love Psychologist on May 04, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.