Sponsor

banner image

recent posts

Wanawake wa kisukuma ndo wife material kwa sasa!


Miaka iliyopita niliamini kwamba waalimu shule ya msingi ndo wanafaa kuolewa na ndo wanaolewa sana.

Ulimwengu wa digital umeingia kila mtaa hao waalimu wa shule ya msingi au secondary unakuta wameolewa ila wanagongwa na madereva bajaji au bodaboda huku wakienjoy miziki ya bongo fleva mipya kwenye vyumba vya hao wafanyaki wa hiyo kadha hapo juu.


Ukiona mke wako mwalimu ana bodaboda maalum au dereva bajaji maalumu jiulize.

Nipo njiani toka Dar kumfuatulia huyu mtoto wa kisukuma ,katoto kisomi,saa kumi na mbili kadeki,chai ipo mezani,hahangaiki na umbeya unachomwambia anaamini.

Wife material wamebaki
1.wasukuma
2.waarusha
3.wamasai


Huko kwingine tabu tupu.
Wanawake wa kisukuma ndo wife material kwa sasa! Wanawake wa kisukuma ndo wife material kwa sasa! Reviewed by Love Psychologist on May 03, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.