Sponsor

banner image

recent posts

Baby Kama Huwezi Kuja Kunichukua Nakuja na Tax, Utalipa, Kama Huwezi Basi Mie Siwezi Panda Dala Dala



Mdada wa mjini Akichat na Boyfriend wake:
'Baby,kama huwezi kuja kunichukua nakuja na taxi utalipa,kama hutaki basi,mi siwezi kupanda Daladala Iam a DIVA''
''Okay Baby,gari haina mafuta na sina hela ya taxi,kama huwezi kupanda daladala basi,I am a DIVA''
Hivi kuwa Diva ndo hupandi Daladala??
Babako mwenyewe anafanya Shirika la Reli anagombania gari za Tandika deile,  Eti we mwanawe Diva, Diva my beuatiful legs! 
Baby Kama Huwezi Kuja Kunichukua Nakuja na Tax, Utalipa, Kama Huwezi Basi Mie Siwezi Panda Dala Dala Baby Kama Huwezi Kuja Kunichukua Nakuja na Tax, Utalipa, Kama Huwezi Basi Mie Siwezi Panda Dala Dala Reviewed by Love Psychologist on February 28, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.