Wasalaam wakubwa na wadogo ,Siku hizi msemo wa kudanga umeshika sana momentum yaani tena waziwazi kina dada wanakwambia sina kazi yeoyote nina danga tu, hivi kuna tofauti kati ya kudanga na uchangudoa hadi watu wajitoe ufahamu na kuona udangaji kama moja ya kitu halali kabisa ?
Kudanga Vs Uchangudoa: Tofauti iko Wapi ? Je Kudanga Imehalalishwa?
Reviewed by
Love Psychologist
on
February 28, 2019
Rating:
5
No comments: