Sponsor

banner image

recent posts

Nilimhurumia sana baba Yangu alipoambiwa na mama Yangu kuwa Mimi siyo mwanae Wa kunizaa

Aman iwe nanyi wakuu


Hakuna siku nilichukia kuishi dunian kama siku ile, ilikuwa ni siku mbaya sana kwangu toka nizaliwe nilimchukia sana mama japo yeye alinizaa

Ilikuwa hivi tulikuwa tunapata chakula mda Wa mchana jumapili yakatokea mabishano kati ya mzee na mama, baba akataka nami nichangie japo kidogo kama alichofanya mama ni sawa au si sawa. Mimi nikawa upande Wa mzee nikasema mama hajafanya poa hata kidogo.
Baba wee acha mama aropoke akimwambia baba ivi unazan huyo ni mwanao mtoto kama huyu wewe umtoe wap jitazame sana alafu mtazame na huyu wewe watoto wako ni hao Wa kike mkome mwanangu

Dah nilishikwa na ngazi si ngazi mshangao si mshangao nilikuwa na tonge mkonon nikalitua chini nikaacha kula nikamchek faza machoz yakimlenga lenga nikanyanyuka nikasepa zangu

Badae jion baba akaniita akanambia mwanangu ulisikia maneno ya mama yako nami nikamwambia ndiyo nilisikia mzee, baba akanambia waogope sana wanawake wanaweza kukufanya uue au ufe kwa sekunde chache sana MARA IGANA SUGAGA MVA MKAYA UTIZAGA SUGA NKEMA mzee alisema hivyo kisha akasema bas nenda mwanangu

Usiku niliwapigia Dada zangu wote nikawambia kuhusu upuuz aliofanya mama walikasilika sana na kukawa hakuna mawasliano mazur kati mama na wao

Nilimhurumia sana mzee na sitakaa nisahau hiyo siku

Mama zetu achen kuwa mnaropoka ropoka tu siyo vizur mtasababisha baba zetu wafe tu bure SHENZY ZENU

Nilimhurumia sana baba Yangu alipoambiwa na mama Yangu kuwa Mimi siyo mwanae Wa kunizaa Nilimhurumia sana baba Yangu alipoambiwa na mama Yangu kuwa Mimi siyo mwanae Wa kunizaa Reviewed by Love Psychologist on February 25, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.