Sponsor

banner image

recent posts

Ushauri: Mwanamke akikuambia sitaki au subiri nitakupa jibu, kama ulikuwa na ndoto ya kumwoa achana na hiyo ndoto

Ushauri: Mwanamke akikuambia sitaki au subiri nitakupa jibu, kama ulikuwa na ndoto ya kumwoa achana na hiyo ndoto.




Ninapenda kuwapa ushauri vijana wale wanaosaka wife material kuwa hata makahaba wakimwona mwanaume aliyetulia na wanayehisi kuwa huweza kuwa mwoaji wa kweli watajifanya wametulia na Wachamungu. Na stahili yao kubwa ni kujifanya watu wazungushaji au wakataaji.
Wakati mwingine jibu la subiri nifikirie au nimwombe Mungu maana yake ni kwamba kuna wanaume wengine wamekutangulia sasa ngoja nifikirie. Na anaweza kukubalia kwakuwa una kipato kizuri au kazi nzuri zaidi ya fulani but hajazimika nawewe totally.

Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome

 



Ushauri: Mwanamke akikuambia sitaki au subiri nitakupa jibu, kama ulikuwa na ndoto ya kumwoa achana na hiyo ndoto Ushauri: Mwanamke akikuambia sitaki au subiri nitakupa jibu, kama ulikuwa na ndoto ya kumwoa achana na hiyo ndoto Reviewed by Love Psychologist on February 27, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.