Sponsor

banner image

recent posts

Utamaduni wa Ushoga kwa Wanaume: Jinsi ulivyopenyezwa/kuenea Tanzania: Sababu 16 za Ushoga





Salam!

Ushoga ni janga la Africa na baadhi ya nchi za Asia, halikuanza leo wala jana, janga hili limeanzia mbali hadi kutufikia sis watanzania zmepita karne nyingi kweny mataifa ya Ulaya na Asia kabla ya kutufikia Africa

Maadam limeshafika Tanzania basi ujue linapiga hodi kwenye ukoo au familia yenu, najua utakataa kua c wewe lkn jua pia anaweza kuwa yeyote kama c mtoto wa dada bas wa kaka, binamu etc, baadhi ya familia limeshabisha hodi na limeshamiri

Mataifa ya Maghrib huu ni sehem ya utamaduni wao na wala hawana haya, wanaupenyeza kwetu kupitia misaada ya masharti kadhaa, na hii ni sababu mojawapo ya kuingia kwa ushoga Africa

Zipo nadharia kadhaa zinazoelezea asili ya ushoga lkn kubwa ni ile ya watu wa nabii Lutu, inasemekana baada ya wanaume kutokutosheka na wake zao kwa mbele, wakahamia kwa nyuma, walipoona mbona ni sawa basi wakaanza kupeana zamu wao kwa wao wanaume, anafanywa nae anafanya mpaka wageni wakiume walipotembelea miji yao wakawa wanawazoza, hali hii ilimchukiza Mungu na kuwaflekelea mbali

Jinsi Ushoga ulivyopenyeza Tanzania na Africa kiujumla:

Kujua ni ipi hasa sababu kuu ya ushoga ngum kidogo, suala hili is still debaitable hasa katika nchi zetu, kwa sababu aina hii ya mapenzi ni siri, si rahis mfanywaji na mfanyaji kuweka waz ukweli kwa 100% kwa sababu ya aibu etc

Naweza kuwa tofauti na mawazo yako juu ya utafiti wangu huu mdogo, tuvumiliane, Sababu za ushoga nyingi ni za siri (yani mtu na mtu au mtu mwenyewe au mtu na familia yake), Inakubidi utazame kwa kina kuibua sababu hizo, zangu niliziona kwa jicho la kina ni kama ifuatavyo;

1. Watanzania wa kiume wanaopata fursa za kwenda nje ya nchi hususan mataifa ya maghrib kwa ajili ya kusoma, safari za kazi, kutafta maisha, michezo, utalii, kuishi uhamishoni n.k wanapaswa kufuatiliwa kwa karibu nyenendo zao wawapo huko na zaidi mara wanaporudi nchini, hii ni kwa sababu umaskini ni chachu ya kila uovu, mzungu haangalii suti yako anachoangalia unanini mfukoni, from their anapenyeza rupia alaf taratib mtu anageuzwa shoga au anapewa ideas za ushoga na kuja nazo huku na kuzisambaza chinichini, pesa imemponza

2. Picha chafu za utupu TZ kupitia internet hasa hizo za ushoga zimebaki kuwa ni faragha za mtu, yani mtu akipenda aangalie na asipopenda aache, uhuru huu wa kivisit webpage yeyote pia unachangia kuharibu vijana wetu na hata watu wazima, pia zipo baadh ya movies zna maudhui ya ushoga lkn ndan ake wanachomekea chomekea na ushoga n.k, vijana wapenda movies na wasiojua kuchuja kwa kina hubebwa na maji

3. Vijana wa kiume waliobaleghe kuoga pamoja hasa katika mito, mabwawa, maziwa, bahari etc na hata kwenye mabafu ya pamoja kwenye shule za bweni huchangia vijana kutamaniana hapo inafuata kutongozana au hata kubakana, au kulala mwanamme na mwanamme kitanda kimoja boxer kwa boxer huzalisha mawazo ya ushoga, kiujumla point hii haina uhalisia sana lkn inaweza kuwa ni sababu mojawapo

4. Tabia ya ushoga hurithiwa, pengine ndio maana ktk uislam nchi zinazosmamia sheria ya kislam shoga huuliwa ili kuondoa kabisa madhara yake kutoka kizaz kimoja kwenda kingine au kurithiwa na baadhi ya watu familia/ yake

5. Uzazi wa mpango unachangiaje ushoga? Vuta taswira kwenye nchi za ulaya ambazo sera hizi znafanya kazi vzr mfano Italy, hii hupelekea kudumaa kwa ongezeko la watu, watu wanapokuwa wachache maanake hata wanawake pia ni wachache, hii hupelekea mawazo mbadala kwa wanaume jinsi gani watakidhi haja zao variably, mwisho hutafunana wao kwa wao! Hata porini wanyama walao majani wakipungua walao nyama huwindana wao kwa wao

6. Wivu wa mapenzi, kuna wakt mwanaume anaingia kweny ushoga kwa sababu tuu anahis raha anayopata mwanamke ni zaidi ya yeye, nae anaitamani na hana jinsi ispokuwa kuwa shoga

7. Umalaya wa wanawake ni chanzo cha ushoga kwa wanaume, mwanaume anaeza kuona kila mwanamke anaekuwa nae hashikiki ni malaya sana hivyo huamua kutafta mwanamme mwenzie ili awe nae, kama inavyofahamika mashoga wengi c malaya sana, wana watu wao maalumu

8. Mwanamke kukubabali kuingiliwa kinyume na maumbile hata kama ni mume wako hupelekea huyo mume au mchepuko wako kuwaza mbali zaidi na hiyo ndio ikawa tabia yake, ataanza kutongoza watoto wa kiume au hata wanaume wenzake na kuwageuza nyuma kwa sababu ladha ya nyuma ulimuonjesha na amenogewa, inasemekana wanapokuwa hedhi baadhi yao huruhusu nyuma kwa waume zao au boyfriend zao

9. Makampuni ya ujenzi na ukandarasi kutoka nchi za Maghribi ni sababu ya kuingiza ushoga Africa, vijana wetu maskini wasiosoma na hata wale wenye elimu kiduchu hususan wanaopewa kazi za sulubu kama kuchimba mitaro, kubeba zege n.k wengi wao wanashawishika kiurahic na hawa mabepari kwa kugeuzwa mashoga kwa sababu ya umaskini wao, mradi ukiphase out wanamuacha na tabia hiyo amalizane na waafrika wenzake

10. Kufanya mapenzi hasa kwa styl ya kuchuma mboga kwa mwanamke au kwa styl ya dogs na hali watoto wako wakiume walioanza kupata akili wanaona, unaeza kuhic jamii imemuharib kijana wako kumbe ni wewe, mtoto akishakua na miaka mitatu au zaidi ya hapo anakua na hulka ya kujarib kila analoliona, sasa mzazi unaweza kuwa na vijana wadogo wawili au mmoja na wew ukapuuza na kufanya mapenz mbele yake huku anaona au ukasema amelala kumbe wap mbaya zaidi kwa stly hizo tajwa basi na yeye atajaribiwa au kumjarib mwenzake nyuma bila kujua wew hukukusudia nyuma chini na sio juu ulipokuwa na mamaake, kwa umri wake anachojua nyuma kuna moja tuu.. atanogewa na kuona ni sawa kwa kuwa aliona kwako

11. Kumradh familia zetu za wafugaji, hapa pia kuna jambo kwa jicho la kina. Mtoto wa kiume anapokwenda machungani na wanyama wake anashuhudia mbuzi, ng'ombe na kondoo na hata mbwa mara kwa mara wakipeana raha, kwa umri wa utoto nae anatamani na kuwaingilia wanyama, na kama ni kijana zaidi ya mmoja basi huamia wao kwa wao, taratib tabia inakomaa na kuwa mashoga wa kijijini, wakija mjini wanaendeleza gemu, hii inaaply pia kwa familia zetu za wavuvi wanaowachia watoto wao uchi wakiogelea ziwani, mbaya zaid hata zile familia ambazo zinaishi ufweni znapaswa kuangaliwa kwa makini. Kwa mila zetu za Africa sio busara mtoto kuona kitendo cha kujamiana kinafanyika mbele yake hata kama ni wanyama ndio wanaofanya, wafugaji hapo kazi ipo

12. Wanaume wanaofumaniwa na kuingiliwa kinyume na maumbile, hii pia huanzisha safar ya ushoga kwa mlawitiwa, mlawitiwa ni kwa kitisho cha kutoa siri awe anawapa gem mara moja moja au kutaka mwenyewe kwa sababu ya mazoea, safar moja huanzisha nyingine, mbaya zaidi kama karekodiwa hana jinsi icpokuwa kuficha aibu yake kwa mlawiti

13. Ulevi wa pombe na madawa ya kulevya ni sababu nyingine ya wazi, walevi wengi wanapokuwa chakari ni rahis kulawitiwa, katika hali ya kujirudia hupelekea wenyewe kuridhia kitendo hicho psychologically, huwa wanaanziwa mbali kwa kimwagiwa ute wa yai takoni, akimka inaangaliwa reaction yake kama hatomaind basi cku nyingine rungu itapenyezwa etc

14. Single mothers either kwa kuachwa au kuzalishwa na kutelekezwa huchangia ushoga kwa upande flan, mwanamke anaezalishwa na kuachwa na akapotia matukio kadhaa ya kuachwa hupelekea kuchukia wanaume, hivyo anapokuwa na ham ya penzi anaweza kutumia DUDU za plastic au chupa kama njia mbadala ya kujiridhisha, na kama ana mtoto mdogo wa kiume kashuhudia ivyo mara kadhaa japo kkwa kibia ibia bas kuna wakat nae atajilawit kwa vitu hivyo, akitika nje hashindwi kuwapa kalio watoto wenzake, atakuwa ivyo na kuwa shoga.
Kwa upande mwingine wanaume zitendeen haki ndoa zenu wanawake wenu wanaogopa kuchepuka ili wasitumie hizo DUDU za plastics mnapokuwa hampo, ni hatari kwa watoto wenu wakiona mama anafanya japo kwa kuinia

15. Kumtahiri mtoto wa kiume mapema ni kumnusuru na ushoga, kivip? Kwa baadhi ya maeneo nchini, uswahilini watoto wa kiume wanapocheza pamoja kimamamaaa na hakuna wakike basi yule Govi anafanywa kuwa mama alaf alietahiriwa baba, in a long run mtoto akiupenda umama ndo ushoga umempata, kazi unayo we kalia ubahili sema hajakuwa siwez kumtahir sasa

16. Kiutamaduni mwanamke huolewa akiwa hana mimba, kwa bahati mbaya skuiz suala la kuoa mwanamimba ni kawaida na hili tumeiga ulaya, laana yake inakuja hizvi; ikiwa wew umemuoa mwanamke na anamimba kwa kumtolea mahari jua pia umeoa na aliyekuwa tumboni, hivyo atakapozaliwa bara awe wakike lkn akiwa wa kiume atakuwa na element za ushoga kwa kua alishaolewa tangu tumboni ns mahar yake mama alishakula, kwa hiyo hatoona tabu kufanya ushoga, kwa kuwa aklishaolewa Laana hiyo! 

17. Sababu za kibiologia, hapa kuna wigo mpana ktk kulielezea hili, wanadamu kijinsia tumegawanyika sehem kuu mbili, lakini upo mgawanyo wa tatu ambao sio mkuu kama hizo mbili nayo ni ile ya walio baina ya jinsia ya kike na kiume. Watu hawa ni kama wale wenye jinsia za kiume lkn hormon/vichocheo vya kike na muonekano wa nje ni wakike ikiwepo tabia, matamshi, mobu yake n.k kundi hili dogo la watu wengi wao hujiingiza kweny tabia hii ya ushoga kama sehem ya kutamani raha za mapenzi au tuu kwa kushawishiwa na wale wenye kuvutika nao kufanya starehe, mtu huyu ni rahic kukubali kwa kuwa jogoo wake hawiki hivyo basi yupo kama geresha na anatamani penzi

18. Khanithi au Hanisi kwa matamshi mengine, mtu anaweza kuwa musculary ni mwanamme lkn ni hanithi, uhanithi unatokana na sababu nying (ntazitaja cku nyingine). Hanisi yeyote ni rahisi kuingia kweny ushoga kama akishawishiwa ipasavyo, na baadhi yao wameshawishiwa na wako kwenye ushoga na kwa maumbile yake ya mwili ukiambiwa huyu ni shoga huwezi kuamini

19. Etc, sababu zipo nyingi na nilikusudia kuweka 20 ila hiz znatosha

#Ushauri wangu kwa jamii na Serikali kiujumla#

1. Kila mtanzania aendae nje ya nchi ni muhim kufuatiliwa nyenendo zake na achunguzemwe zaid arudioo nchini, hii itasaidia nanimkaja na fikra mbov ili kuweza kumdhibit mapema

2. Jamii yenyewe kufichua watu weny tabia hizi ili kuchukuliwa hatua zaidi, kuwe na dhabu kali sana (sheria iwe kali zaidi)

3. Aina flan ya websites na movies hasa zile zeny picha za utupu au ideas za utupu zipigwe marufuku na kufungiwa kabisa nchini

4. Kila point ina namna ake ya kuidhibit rejea zote na uproprose solutions
Utamaduni wa Ushoga kwa Wanaume: Jinsi ulivyopenyezwa/kuenea Tanzania: Sababu 16 za Ushoga Utamaduni wa Ushoga kwa Wanaume: Jinsi ulivyopenyezwa/kuenea Tanzania: Sababu 16 za Ushoga Reviewed by Love Psychologist on February 28, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.