Sponsor

banner image

recent posts

Anatoa malezi ya mtoto laki 2 wakati kipato chake ni milioni 1.4 kwa mwezi



Jamani nimetengana na mume wangu baada ya kuona vipigo vimezidi ikabidi niondoke niende kwa kaka angu ambaye naye anafamilia yake.

Nilikuwa nafanya kazi katika kampuni fulani lakini mume aliniachisha kutokana kazi iyo kuwa na shift za usiku na nilikuwa na mtoto mdogo,kwa sasa nilikuwa najishughulisha na biashara ndogondogo apo nyumbani.

Ila tangu nimeondoka nipo mkoa mwingine kwa sasa sijasimama vizuri kibiashara mana niliondoka pale bila chochote,uyu mwanaume anakomaa yeye atatuma laki 2 tu kwa ajili ya kumtunza mtoto kwa mwezi wakati yeye kipato chake kwa mwezi haipungui 1.4milion je nisahihi iyo pesa kwa kipato chake
Anatoa malezi ya mtoto laki 2 wakati kipato chake ni milioni 1.4 kwa mwezi Anatoa malezi ya mtoto laki 2 wakati kipato chake ni milioni 1.4 kwa mwezi Reviewed by Love Psychologist on March 09, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.