Jinsi Mapenzi yanavyotufanya vijana wengi kuwa maskini
Kataa usikatae....wengi vijana tunatafta hela na mostly tunajibana mno mpaka kula ila ikifika time ya kutumia na dem ndo tunajiachia....
Hela inabanwa kuanzia asubuh....kidume huli halaf jioniii ndo unaimalizia yooote kw kumridhsha dem
Tubadilike
Tuionee uchungu hela yetu
Tuiwekee hela malengo chanya
Tuionee uchungu hela yetu
Tuiwekee hela malengo chanya
Huyo mwanamke unayekazania kmridhsha jua one day atatokea mtu atakayekuzidi chchte na atakuacha
Na nnaamini wengi wetu baada ya kuachwa na dem wtakaokuwa nawe ni wazazi na baadh ya ndugu
N heri uimalize hela kwa kuhudumia ndugu au mzazi....!!atakumbuka fadhila zako...na yawezkn wanao wkafaidi wema wako kupitia hao ndugu
Lakini co hawa watu baki ambao anytime atakuacha na kusepa bila hata kugeuka nyuma
Vijana...wanaume wenzangu tujifunze kusimama na kusaidia wale wanaotusaidia tukiwa kweny shida
Lakini pia tujifunze kuweka malengo kwenye hela zetu....mpenzi haridhiki hata mara moja...!!kamwe huwez kumridhisha mpenzi
Plz matusi staki...!!
Usisahau kushare post hii. Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
CHUKUA HATUA: Jinsi Mapenzi yanavyotufanya vijana wengi kuwa maskini
Reviewed by Love Psychologist
on
March 09, 2019
Rating:
No comments: