Sponsor

banner image

recent posts

DUH INAWEZEKANA KWELI? Kulala kitanda kimoja bila kufanya mapenzi kwa mda mrefu(SOMA UFAHAMU)



Habari zenu naombeni ushauri jamani Mimi na mme wangu tunakaa chumba kimoja kitanda kimoja tunajifunika shuka moja lakini cha kunishangaza sahivi tuna wiki 3 hatujafanya mapenzi nikiwa na hamu nikimuanza ananiambia amechoka sasa sielewi shida ni nini na kipindi cha nyuma tukifanya huwa anakojoa haraka yani ndani ya dk 5 ameshakojoa na harudii tena bao la Pili tunalala namwambia twende hospital hataki kwakweli niko njia panda hata sielewi tatizo ni nini maana hata huko nyuma tukifanya mapenzi ni mpaka Mimi nimuanze yani hawezi hata kusema mke wangu nimekumisi mpaka Mimi nianze usumbufu ndo tufanye. Naombeni mawazo yenu nifanyaje maana hapa na mawazo hata sielewi na ukifikiria Nina nyege hapa nilipo
DUH INAWEZEKANA KWELI? Kulala kitanda kimoja bila kufanya mapenzi kwa mda mrefu(SOMA UFAHAMU) DUH INAWEZEKANA KWELI?  Kulala kitanda kimoja bila kufanya mapenzi kwa mda mrefu(SOMA UFAHAMU) Reviewed by Love Psychologist on March 09, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.