Sponsor

banner image

recent posts

Faida za kumkumbatia mumeo/mkeo wakati wa kulala

Faida za kumkumbatia mumeo/mkeo wakati wa kulala


L





UMUHIMU WA KUMKUMBATIA

 

MPENZI WAKO/MKE/MUME

*

_

Kumkumbatia mpenzi wako au mkeo au mumeo nikitendo kinacho mpa mtu faraja,kumponya mtu kama mtu huyo atakuwa na machungu,pia nikitendo cha kumfanya mwenzi wako ajihisi anapendwa na kuzidi kuchochoe upendo wenu._

_

Ebu tujiulize ni Mara ngapi tumesha wakumbatia wenzi wetu tuwapo karibu nao?kunawengine toka amekumbatiwa siku ya ndoa mpaka Leo ajakumbatiwa tena.mwingine atakumbatiwa kipindi akiwa anapewa dudu basi kwa ile mihemko ndo anamkumbatia._

*FAIDA*
*Humjengea mkumbatiwaji ujasiri.*

_

Utuliza machungu kwa mtu mwenye_
_chungu mkubwa either kwa kufiwa au kwa matatizo ya aina yoyote_

_

Kumkumbatia mpenzi wako au mwenzi wako kunafaida nyingi kwakweli nikisema nizitaje zote zitajaa hapa.sijaona hasara y kukumbatiwa._

_

Jamani ebu jizoesheni kila mnapokaa karibu na mwenzi wako uwe umemkumbatia kwa kuzungusha mikono nyuma ya shingo au kiuno chake yani muwe closely muda wote mwaliiii….._

_

Hata kama mmekaa sebuleni mna angalia TV kaeni pamoja mkiwa mmekumbatiana au kuegemezeana miili yenu hii inazidisha ukaribu na hatamwenzio akitoka au akiwa mbali na we we unakuwa unahisi kuna kitu umemiss mwaliii_

_Unakuta mume ametoka safari alikuo huko mwezi mzimaa lakini siku akifika nyumbani hata hajishughulishi yani hata kumkumbatia mkewe kuonyesha alimmis walaaaa……namwamke hivyo hivyo mumewe katoka safari hata kumkumbatia mumewe walaaa wala atingishiki wala kuyumba ndo kwanza ataenda kubeba mabegi aingize ndani.hii ufanya upendo kuwa mbali yenu mwaliiii_


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome

 

 


Faida za kumkumbatia mumeo/mkeo wakati wa kulala Faida za kumkumbatia mumeo/mkeo wakati wa kulala Reviewed by Love Psychologist on March 30, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.