Sponsor

banner image

recent posts

Huu Utamaduni wa kumpigia mwanamke magoti na kulia tumeutoa wapi?



Kama kichwa kielezavyo naona mambo mengi ya kitoto kuendelea katika jamii zetu, hivi mwanaume unaanzaje kulia kwa kumvisha mwanamke Pete, mwanaume unaanzaje kumpigia mwanamke magoti, je upendo wetu hupo kwa maonesho hayo au ni ulimbukeni?

Nauliza huu utamaduni tumeutoa wapi?
Huu Utamaduni wa kumpigia mwanamke magoti na kulia tumeutoa wapi? Huu Utamaduni wa kumpigia mwanamke magoti na kulia tumeutoa wapi? Reviewed by Love Psychologist on March 24, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.