Sponsor

banner image

recent posts

JINSI YA KUBEMBELEZA MPENZI WAKO MANENO MATAM HAYA HAPA

JINSI YA KUBEMBELEZA MPENZI WAKO MANENO MATAM HAYA HAPA





Ila lakini, pamoja na yote hayo, niliyoyapata kupitia BLOG zako bado mimi nina tatizo moja tu ambalo linanikwaza katika MAPENZI yote kwa ujumla, kwa kutumia TAALUMA ambayo nimeipata kupitia BLOG zako, nahisi nikitu MUHIMU sana katika MAPENZI pia inaweza ikapelekea kuachana na MPENZI wangu na ni kitu ambacho mimi sijakipanga maishani mwangu kumsaliti yeye kwani NAMPENDA.
              Tatizo langu Ant Voilet ni kwamba mimi hadi sasa bado sijajua jinsi gani ya KUMBEMBELEZA MPENZI wangu, kwani yeye kila siku ananmbia NIMBEMBELEZE wakati wa usku asa na mimi sijui kwa sababu mimi nilitaka kuyajua MAPENZI kabla ya kumpata MPENZI,aidha naliyasoma kwanza yakoje halafu ndo nikaingia,bali yeye anambia nimwambie MANENO MAZURI YA MAPENZI YENYE KUMLIWAZA WAKATI WA USIKU ANAPOTAKA KULALA, husema yeye hapati usingizi na mimi pia nimeshachoka kumdanganya, kwaiyo nakuomba Ant Voilet kwa ROHO YA UNYONGE na nainamisha kichwa changu chini na napinda magoti yangu chini na nainua mikono yangu juu kupokea MSAADA wako kwani nakuomba unisadie juu ya hilo kwani NAMPENDA ZAIDI YA ANAVYOFIKRIA na sitaki nimpoteze. Pia nimeshamuahidi Mungu ikiwa hatochukua roho ztu nitakuja kufunga nae

JINSI YA KUBEMBELEZA MPENZI WAKO MANENO MATAM HAYA HAPA JINSI YA KUBEMBELEZA MPENZI WAKO MANENO MATAM HAYA HAPA Reviewed by Love Psychologist on March 24, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.