Jinsi ya Kufanya Uume usimame kwa Muda mrefu Bila Kumwaga
Kwenye tendo la ndoa wanaume wengi inawachukua dakika 3 adi 7 kufikia mshindo(Ejaculation), lakini asilimia 87 ya wanawake hupendelea kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi.
Hapo ndipo wanaume wengi huzalilika kwa wake/wenzi wao na kuonekana sio wanaume wa kweli kwa kushindwa kufanya mapenzi au tendo la ndoa kwa muda mrefu.
Ondoa shaka na hofu, Leo nimekuletea mbinu uweze kujifunza mwenyewe jinsi ya kufanya ngono kwa muda mrefu zaidi na usiaibike tena kwa mpenzi au mwenzi wako.
1. Mazoezi ya Kuukaza Uume.
Zoezi la kwanza : Wataalamu wa mambo ya mahusiano na mapenzi wamethibitisha zoezi la misuli ya uume liitwalo (PHYSIOTHERAPY) ambalo hurudisha uwezo wa nguvu za kiume za asili. Zoezi hili halina madhara kiafya na unaweza kulifanya mahali popote au muda wowote ule.
JINSI YA KUFANYA ZOEZI HILI : Ukiwa umekaa anza kujibinya kama mtu uliyebanwa na mkojo kwa muda mrefu alafu choo kipo mbali sana, bana ili mkojo usikutoke kwa kukaza misuli yako ya uume. Hesabu 1 mpaka 7 kisha achia kukaza misuli, unarudia tena mara 30 kwa siku, Utaona mabadiliko.
FAIDA YA ZOEZI HILI :
(a). Husaidia mzunguko wa damu kuingia kwenye uume na kuufanya utanuke na kuwa mgumu zaidi.
(b). Misuli ya uume itakuwa mara na kuweza kuzuia manii na kukuwezesha kumridhisha mpenzi wako kila mnapofanya tendo la ndoa.
Zoezi la pili: Inua juu na kushusha mboo yako, ichezeshe juu chini, chini juu mara 5 hadi 10, uwe unaiminyaminya kidogo wakati huo huo unavuta hewa kwa pua na kuitoa kwa mdomo, fanya zoezi hili mara kwa mara na litakusaidia kuimarisha uume wako.
2. Ufanyaji wa Tendo la Ndoa Mara kwa Mara.
Ufanyaji wa tendo la ndoa mara kwa mara huimarisha moyo, ubongo na misuli ya uume, wanasayansi wamethibitisha hili kuwa ufanyaji wa mara kwa mara husaidia dhakari(uume) kupata nguvu (Zipo tofauti kati ya uwezo wa mwanaume mwnye mke mmoja na mwenye wake wengi).
3. Punguza Stress (Msongo wa mawazo)
Katika vitu vinavyochangia kutoweza kumridhisha mwenzi wako basi ni Stress. Huwezi ukafanya vitu viwili kwa wakati mmoja hasa kutokana na tendo husika kuhusisha mwili na akili. Jitaidi kupunguza msongo wa mawazo na kukutana na washauri wa masuala ya ushauri.
Ili kupunguza stress unaeza fanya vitu vinavyo kuletea furaha ya kutosha kama kupiga strori na watu wako wa karibu, kuangalia vichekesho na kujitahidi kupunguza muda wa kukaa pekeyako kadiri utakavyo weza ili kepuka kupata mawazo yasiyo rafiki.
ukifanya haya utaweza kuirudisha heshima yako kama mwanaume kwa mwanamke yoyote utakaye pata nafasi ya kusex nae, akawasimulie mashga zake vilivyo utamu wako.
No comments: