Sponsor

banner image

recent posts

KUSHINDWA KUFANYA TENDO LA NDOA KUTOKANA NA WASIWASI

KUSHINDWA KUFANYA TENDO LA NDOA KUTOKANA NA WASIWASI




umekuwa na msukumo mkubwa katika jamii kuhusiana na uwezo wa kumudu kufanya tendo la ndoa na watu wamekuwa wakiuchukulia uwezo huo kama kigezo cha ukamilifu wa mwanamme.

Wasiwasi wa kushindwa kufanya tendo la ndoa ni kitu endelevu. Unaweza kumsababishia mwanamme kufika kileleni mapema, kumfanTendo la ndoa linatakiwa kuwa ni kitu cha kuleta starehe, lakini inakuwa vigumu kupata ashiki au kuwa karibu sana na mpenzi wako pale unapokuwa na tatizo la kushindwa kushiriki tendo la ndoa kutokana na wasiwasi. Tatizo la kushindwa kushiriki kufanya tendo la ndoa vizuri kutokana na wasiwasi ni kitu ambacho kinawaathiri watu wengi hasa wanaume. Kya mtu ashindwe kupata ashiki, na baadaye kusababisha mtu ashindwe kabisa kufanya tendo la ndoa. Mada yetu ya leo inazungumzia sababu za wasiwasi wa kufanya tendo la ndoa na suluhisho kwa tatizo hilo.

KUSHINDWA KUFANYA TENDO LA NDOA KUTOKANA NA WASIWASI KUSHINDWA KUFANYA TENDO LA NDOA KUTOKANA NA WASIWASI Reviewed by Love Psychologist on March 24, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.