MC Pilipili: Bajeti ya harusi yangu inaweza kuzidi tsh milioni 50, itafanyika Taifa au Leaders Club
Harusi ya MC Pilipili kufuru: “Itafanyika Uwanja wa Taifa au Leaders Club, pia natamani niweke kiingilio kwa sababu zinazungumzia couple bora kwa sasa ni Diamond na Tanasha, na mimi na Philomena Thadey, na hasuri yangu ni zaidi tsh milioni 50 na inaweza kuzidi, hii ndio sherehe yangu kubwa ya mwisho katika maisha yangu”
MC Pilipili: Bajeti ya harusi yangu inaweza kuzidi tsh milioni 50, itafanyika Taifa au Leaders Club
Reviewed by Love Psychologist
on
March 23, 2019
Rating:
No comments: