Sponsor

banner image

recent posts

Mdada, uko 'single' na hauna mtoto 'housegirl' wa nini?



Heshima kwenu 

Naomba msiniambie tu nipambane na hali yangu ni hivi, nashindwa kuelewa sijui kwa ajili ya ushamba au umasikini wangu tu ndio unaonifanya nifikirie hivi.

Nimeshaona mara nyingi tu hii utaona mdada ana kazi yake wakati mwingine ya kawaida tu mshahara six digits, hana familia, wala kazi yake sio ya kumuweka bize kihivyo anakuwa na msichana wa kazi. Wa nini? Yaani wanaishi wawili tu yeye na binti wa kazi. Ni uvivu, wanapambana na upweke, au wanaogopa kulala peke yao?

Ninyi wenzangu mnafikiriaje?
Mdada, uko 'single' na hauna mtoto 'housegirl' wa nini? Mdada, uko 'single' na hauna mtoto 'housegirl' wa nini? Reviewed by Love Psychologist on March 09, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.