Mimi na mpenzi wangu tunaweza kupatana siku tatu baada ya hapo tukazinguana kidogo tukapishana kishwahili siku moja au mbili baada ya hapo tunakubaliana tena.
Kupatana kwenu sanasana kuwe kitandani na kugombana kwenu kusizidi hadi ukamtia mtoto wa watu mingumi. Hayo sasa yatakuwa mapenzi ya kikurya.
Mimi baby wangu huwa namtia makofi kidogo akiniletea dharau baadae mimi mwenyewe naanza kujilizaliza; ndivyo tunavyoenda tuko mwaka wa nne sasa tunafurahia maisha hayo
Mkitaka kudumu mahusianoni msigombane Sana Wala msielewane sana
Reviewed by Love Psychologist
on
March 10, 2019
Rating:
Reviewed by Love Psychologist
on
March 10, 2019
Rating:

No comments: