Sponsor

banner image

recent posts

Napata Shida sana kwa mwenzi wangu. Kwa hili jambo nabaki njia panda



Huyu mwenzi wangu ananipa wakati mgumu sometime kwa vitu vidogo mpaka nasema labda niulize kwa ninyi wengine kutokana na uzoefu wenu.
Mimi binafsi huwa sipendi kuacha nywele ziotazo sehemu za siri sizipendi kabisa so mara nyingi karibia kila baada ya week moja au mbili nanyoa huyu mwenzi wangu akiona nimenyoa tayari anaanza maneno kuwa nimenyoa sababu kuna game nategemea kucheza ya ugenini wakati mimi napenda tu kuwa msafi maana sijui hata ulazima wa kuwa na hizo nywele huko chini mpaka nimewaza wadau mnijibu haya maswali.
1. Nywele ziotazo sehemu nyeti kwa huku mbele kazi yake ni nini hasa?
2. Nywele ziotazo huku nyuma sehemu ya haja kubwa na makalio kazi yake ni nini?
na kwa nini wanawake hawana nywele sehemu zao za nyuma?makalioni na sisi wanaume tunakuwa nazo?
Hata nywele za kwapani pia sioni kazi yake kitaalamu ni sehemu ambazo zinanikera sana napenda kama ingewezekana niwe na kipara sehemu zote za mwili. "inshu" inakuwa nikinyoa tu ikajaonekana sina kitu basi ugomvi wake ni mkubwa sana home kuwa nmecheza game ugenini au natagemea kwenda cheza wakati hilo si lengo huyu mwenzi wangu ana wivu mpaka inakuwa kero ni mapenzi ambayo sielewi inakuaje maana sometime anaweza hata kuchukua boxer kunusa kama nime cheza game ugenini nachoshangaa ni dada mzuri tu ambaye hakuwa na sababu ya kusema awe insecure.
Na huwa ananiambia akija kujua nime mcheat atanipasua korodani zangu huwa anasema na anaapa kabisa kuwa kama nabisha basi nijaribu ajue apate ushahidi nione atakachonifanya.na kunambia nimemwingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi sasa ninaye tu maana yeye hakutaka hayo mambo basi naishi kwa mashaka sana ingawa ni mdada tunayependana naye sana.
Sasa sielewi why nisinyoe na nikinyoa siku hiyo atalalamika na kula hatokula analia tu kuwa na mcheat ndo maana nafanya usafi ilhali mimi siyapendi haya manywele maeneo hayo.
Usisahau kushare post hii. Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
Napata Shida sana kwa mwenzi wangu. Kwa hili jambo nabaki njia panda Napata Shida sana kwa mwenzi wangu. Kwa hili jambo nabaki njia panda Reviewed by Love Psychologist on March 05, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.