Sponsor

banner image

recent posts

Nilochojifunza kwa babu kuhusu wanawake, mwanamke hapigwi Ole wako umpigae mkeo,



Leo nipende kuchukua fursa hii kuwapa sifa njema wanawake wote humu ndani,,
1, wanawake hutupikia chakula
2,hutuzalia watoto
3,huwalea watoto wetu
4,hutunza siri zetu
5,hutufulia nguo zetu
6,Hulea mama zetu
7,hutushauri kwa mambo mbali mbali
8,kuburudisha miili yetu [sex]
9,hutuuguza pale tunapougua
Nilochojifunza kwa babu kuhusu wanawake, mwanamke hapigwi Ole wako umpigae mkeo, Nilochojifunza kwa babu kuhusu wanawake, mwanamke hapigwi Ole wako umpigae mkeo, Reviewed by Love Psychologist on March 05, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.