Sponsor

banner image

recent posts

Ogopa kuingia kwenye ndoa na mwanamke ambaye haujawahi kukutana naye kimwili (kufanya mapenzi)



Nilikuwa naongea na jamaa yangu mmoja ambae ana kama miezi miwili ameowaaa alikuwa akiwaasa vijana flani hivi wanapopata mabinti wajitahidi sana kabla ya ndoa basi watest mitambo kwanza.....

Nia ya mazumuni ya kuwaambia vijana ni kwasababu tangu ameowaa kitu alichokutana nacho ameshidwa kuamini kwa mwanamke wake hiyo hali imemfanya hadi anashidwa kufurahia tendo la ndoa lakini pia akawaeleza wanawake wana siri kubwaa sana huwa wanatufichaa, lakini pia wanawake wanajua madhaifu yao

Ni hayo tuu
Ogopa kuingia kwenye ndoa na mwanamke ambaye haujawahi kukutana naye kimwili (kufanya mapenzi) Ogopa kuingia kwenye ndoa na mwanamke ambaye haujawahi kukutana naye kimwili (kufanya mapenzi) Reviewed by Love Psychologist on March 07, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.