Imepita Wiki Chache Tangu Nilipokosakosa Kuukwaa Ule Ugonjwa Usiotibika Yaani UKIMWI Na Kwa Kuokoa Mda Ilikua Hivi;
Kuna Shosti Mmoja Mtaani Kwetu Ambae Ni Mzuri Na Ukimuona Lazima Utampenda Kwakua Kajaliwa, Basi Nikajitia Kidume Nikamfata Na Kumtongoza,chakushangaza Ilikua Rahisi Sana Kumpata Na Hakunisumbua Kinyume Na Matarajio Yangu, Nikaona Nimepata Visiku Vichache Vikakatika Tukapeana Ahadi Aje Kwangu Napoishi, Sasa Asubuhi Yake Kuna Rafiki Yangu Alikuja Kwangu Tukawa Tunapiga Stori. Rafiki Yangu Huyu Ni Daktari, Katika Kupiga Stori Za Hapa Na Pale Akanieleza Kuhusu Huyo Binti Ambaye Ntakutana Nae Bila Yeye Kujua Kuwa Nipo Nae Na Nina Miadi Nae, Alinambia Uyo Binti Ana Ukimwi And Nikajitaidi Kumpeleleza Amejuaje Hakunambia..alishia kuniambia tu kuwa yeye ni Daktari na wana siri nyingi...Kiukweli Nilihisi Nina Bahati Na Nikajicontrol Nisimuoneshe UTofauti,baada Ya Maongezi Akaondoka.
Ilipofika Jioni Mdada Akaja Napoishi Na Nikampokea Vizuri And Tukaishia Kupiga Stor Na Kuangalia Muvi Na Akaondoka...
NIMEJIFUNZA KUTOKUPARAMIA

Rafiki Yangu Kaniokoa Bila Kujua...Ningepata Ukimwi Kwa Papara Zangu
Reviewed by Love Psychologist
on
March 24, 2019
Rating:
No comments: