Sponsor

banner image

recent posts

Swali: Katerero ndio nini jamani?




Nimekaa zangu naangalia Movies NETFLIX,
Mara simu whatsapp ikaingia,
kucheki ni shangazi yangu, ananiambia Aunty naomba nikuuulize tafadhali:
Eti Katerero ni nini?
Na hio KATERERO nani anatakiwa ampatie mwenzake? mwanaume au mwanamke?
KATERERO ni chakula au kama ni Chakula inauzwa wapi?
doh, watoto wa skuhizi wana maswali!

eti nyie mliokubuhu embu niambieni KATERERO ndio nini kwanza, alafu me nitamjibu

Nilimwambia nitampigia kesho msiniangushe basi nyie mliokomaa!
Swali: Katerero ndio nini jamani? Swali: Katerero ndio nini jamani? Reviewed by Love Psychologist on March 05, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.