Sponsor

banner image

recent posts

Tendo la ndoa: Mpaka nimeamuwa kuandika; nimeshidwa kuvumilia nataka majibu


Mpaka nimeamuwa kuandika; nimeshidwa kuvumilia nataka majibu

mke wa kwanza baada ya kumpa talaka mungu kanijaria nikaowa tena; baada ya mwaka tumepata mtoto,

sasa matatizo ndio yameaza,napewa tendo la ndoa lakini wife kama jiwe, wakati mwingine mpaka namuomba katika basi, namshika anasema kachoka au anatoka kitandani kwenda kufanya kitu mpala kurudi;yenge nazo zote zinapotea ule mzuka unapotea

siku nikipewa ni nahisi yeye kama namlazimisha kwa hiyo mara nyingi natoka kabla kumaliza.

Pia naona anajilazimisha, style moja tu kifo cha mende zengine imekuwa history kama nikimwambia panda juu ndio biashara tunamalizia anaaza ubishi mpaka unapote nyege

Nimeaza kujiuliza maswari mengi muda wote najiuliza why nimeaza kuwa mkari rafiki washaaza kuhisi kuna kitu sijawahi kumwambia mtu yoyote nachofanya nikumpenda zaidi na mazawadi kila siku weekend zote tunakula nje, sina kingine cha kumpa mwenzi uliopita tumeenda Zanzibar kutembea kwa wiki

nikijaribu kuogerea hili tatizo anaaza kilio; wakati mwingine narudi home nimekunywa naogea mpaka ananijibu naogea sana

Asubuhi namka kukimbia narudi home bado kalala kwa hiyo natoka bila breakfast;

naishi na mtoto wa sister lakini paka na paya na wife.
wafanyakazi wanakaa siku mbili wanaaza matatizo story kibao mwaka huu kama kumi na siku ya kuondoka ukimsachi kabeba nguo na vitu vya ndani kibao

tatizo hivi nini??

napenda ushauri mzuri bado nampenda swala la talaka bado kufikiria
Tendo la ndoa: Mpaka nimeamuwa kuandika; nimeshidwa kuvumilia nataka majibu Tendo la ndoa: Mpaka nimeamuwa kuandika; nimeshidwa kuvumilia nataka majibu Reviewed by Love Psychologist on March 05, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.