Ukaribu wa mwanadada Nandy na tajiri mmoja kutoka kenya anejulikana kwa jina la joho mabae pia ni kiongozi katika mji wa mombassa nchini humo , umezua utata na alama ya kuuliza kwa mashabiki wake hasa baada ya mwanadada huyo kuonekana akiwa sana nchini kenya lakini pia hata akiva baadhji ya nguo zenye nembo za tajiri huyo.
Alipokuwa katika interview, mwanadada huyo aliwahi kuulizwa kuhusu swala le yeye kuwa na mahusiano kwa sasa na ndipo aliposema kuwa yuko single.
Lakini hata alipoulizwa kuhusu kuwa na mahusiano na mtu yoyote nchii kenya, mwanadada huyo alionekana kujibu kwa kusua sua huku akisema kuwa haina shida kama yeye ataamua kutoka kimapenzi na mtu kutoka kenya kwa sasa na kama yupo ikifika muda itajulikana.

Ukaribu wa Nandy na Tajiri huyo Wazua Utata
Reviewed by Love Psychologist
on
March 22, 2019
Rating:
No comments: