Sponsor

banner image

recent posts

UKIONA HIVI, UJUE UMEMKUNA VILIVYO

UKIONA HIVI, UJUE UMEMKUNA VILIVYO






 Leo acha niwape dondoo
kadhaa kuhusu namna ya kujua kama umemkuna ipasavyo mwanamke wakati wa tendo la ndoa.


1.Kufinya shuka kwa nguvu au kitanda kwa nguvu wakati unampa mambo

ni ishara mojawapo ya
kuonyesha kwamba inamkuna vizuri.

2.Kukukumbatia kwa nguvu au kukufinya:
Hii pia ni moja kati ya ishara nyingi anazoonyesha
mwanamke pindi anapo
----- vizuri.

3.Kutokwa na jasho ndani ya
sekunde chache:
Ukiona anatokwa na jasho ndani ya sekunde chache na katika hali isiyo ya kawaida basi jua kua utendaji wako ni mzuri na
unamridhisha.
Acha niishie hapo kwa leo, lakini sina maana kwamba kama mwanamke wako haonyeshi moja kati ya ishara hizo au zote
basi ndio inamaanisha
haumridhishi, hapana. Hizi ni baadhi tu, zipo nyingi tu.

Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome

 



UKIONA HIVI, UJUE UMEMKUNA VILIVYO UKIONA HIVI, UJUE UMEMKUNA VILIVYO Reviewed by Love Psychologist on March 31, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.