Hii ni aina nyingine na muhimu ya mazoezi itakuhakikishia uwezo wa ajabu kitandani ukifanya mapenzi.
Barre exercise ni aina ya mazoezi ambayo inafanywa kwa wingi na wanawake. Mazoezi haya yanalenga kuimarisha eneo la chini la mwili wako kuanzia kiuno kwenda chini… na niamini mimi ukiwa fiti zaidi maeneo haya basi ni rahisi kukimbiza mchezoni.
Faida za Barre exercise katika sex hizi hapa
Kuongeza mzunguko wa damu
Mazoezi haya ni mchanganyiko wa Yoga, lunges, plunk nk. Haya ni mazoezi yanayoimarisha misuli midogo midogo ambayo huwa ni muhimu sana kwenye kuhamasisha dude linapohitajika.
Haya mazoezi yanaongeza mzunguko wa damu na kama unavyojua mzunguko wa damu ni muhimu sana kwenye kuliamsha dude kisawasawa, kwa kuwa damu hujaa vizuri kwenye chombo.
Unakuwa na stamina ya kuhimili positions
Kwenye lile timbwili suala la kushikwa na misuli kila dakika litakulostisha na pengine ataibiwa. Sasa haya mazoezi ukiyafanya vizuri utakuwa na uwezo wa kuhimili position kwa muda mrefu na huku ukishambulia kiustadi.
Kuwa flexible
Unatakiwa kuwa na uwezo wa kuzama chumvini huku ukiendelea kupiga solo kwa wakati mmoja unapima oil. Hii sio kazi ya kufanywa na mtu mzembe mzembe maana mara nyingi unahitajika kujikunja kama unataka kuingia tunduni.
Ukichapa mazoezi haya kwa uaminifu ndani ya miezi mitano utakuwa unajikunja na kugusa kila kona mpaka ubatizwe majina ya watu wa kale.
Mbao za maana
Raha ya kushinda bahati na sibu haiwezi kufikia hata robo raha ya mtu anayepiga bao baada ya kushugulikia kipago vizuri na kwa muda wa kutosha. Mbao kama hizi mara nyingi zinakuwaga za ushindi kwa sababu unakuta mrembo na yeye anakutana nazo mdomoni.
Unataka kufaidi kwangwaru kitandani bila kuchoka? Hivi ndio unatakiwa kufanya
Reviewed by Love Psychologist
on
March 17, 2019
Rating:
No comments: