Sponsor

banner image

recent posts

Utamu wa Mapenzi Unafanana na Nini ? Soma hapa alafu Tuongee.



Bila shaka msomaji wa App ya Utundu Kitandani (Bofya hapa ka Hujapakua) hii unampenda sana wako kipenzi na yawezekana unafanya kama huyo hapo kwenye picha anavyofanya kuonyesha kuwa mnapendana sana, na ikifika wakati wa chakula cha usiku unabonyeza/ unabonyezwa vizuri tu na unasugua kwa ulaini huku utamu wa mpenzi wako unausikia vizuri.
Ebu fikiria iwapo inatokea siku moja, mpenzi wako akakusaliti na kwenda kumpa chakula cha usiku mtu mweingine utajisikiaje? au itokee siku mpenzi wako akaamua kukuacha na kwenda kuolewa na mtu mwingine.

Fikria maumivu utayoyapata ni ya aina gani? Hakika penzi ni tamu kwelikweli hasa kwa yule anayempenda kwa moyo wote. Sasa tujadiliane unasemaje?
Utamu wa Mapenzi Unafanana na Nini ? Soma hapa alafu Tuongee. Utamu wa Mapenzi Unafanana na Nini ? Soma hapa alafu Tuongee. Reviewed by Love Psychologist on March 09, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.