Sponsor

banner image

recent posts

Uvumilivu Unanishinda, Nashindwa Kutunza Bikira Yangu.



Mimi ni msichana 21 aged, nishawahi pitia relationship 3( long distance). I never had sex with any of them tho. (im virgin), lakini siku zinavyozidi kwenda naona uvumilivu unanishinda...Marafiki zangu wanadai hiyo kitu ni tamu sana.


Sometimes, natamani niende na mwnaume yoyote tuu. Ushauri wenu tafadhali. "Ndege mjanja asinase kwenye tundu bovu.
Uvumilivu Unanishinda, Nashindwa Kutunza Bikira Yangu. Uvumilivu Unanishinda, Nashindwa Kutunza Bikira Yangu. Reviewed by Love Psychologist on March 22, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.