Mwanadada Irene Uwoya ametangaza kuwa kwa mahusiano yake yanayokuja baada ya yale yaliyokufa lati yake na Dogo Janja ni lazima kuna mambo mawili yanaweza kufanyika katikati yaani kuolewa kabisa au kuua.
mwanadada irene anasema kuwa kwa sasa ameshachoshwa na mahusiano yasiyokuwa na tija kabisa hivyo anaona kuwa kama anataka kuingia katika mahusiano kwa sasa inaweza kumfanya kufunga ndoa na kutulia kabisa au kuamua kuua kwa sababu tu yanaweza kuwa yameshinda.
katika ukurasa wake wa instagram, Irene aliandika
“My next relationship will either lead to marriage or my first murder beacause am tired.”
Uwoya Atangaza Kuuwa Mtu Kwenye Mahusiano Yake Yajayo
Reviewed by Love Psychologist
on
March 24, 2019
Rating:
No comments: