Sponsor

banner image

recent posts

Wanaosema Rwanda kuna wanawake wazuri, je wameshawahi kufika Kondoa, Babati, Manyara na Iramba?



Watu wengi wamekuwa wakiwasifia kwamba rwanda bana kuna wanawake wazuli haswa wanaotokea kabila la watusi

licha ya watu kusifia wadada wa rwanda je kuna watu wameshawahi kutembelea maeneo ya kondoa,iramba,babati na manyara wanapotokea wadada kutokea makabila ya warangi, wambulu,waasi wanyairamba na wairakiiiiiiiiiii............

aisee hivi watu wanajua kama warangi, wambulu, wanyairamba, wairakiii ni watu wenye rangi za kipekeee, macho ya rangi na nywele tofauti, pia wana rangi adimu, 

kuna sometime unaweza kusema hawa ni sijui waarabu au wazungu
Wanaosema Rwanda kuna wanawake wazuri, je wameshawahi kufika Kondoa, Babati, Manyara na Iramba? Wanaosema Rwanda kuna wanawake wazuri, je wameshawahi kufika Kondoa, Babati, Manyara na Iramba? Reviewed by Love Psychologist on March 09, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.