Sponsor

banner image

recent posts

Wanaume Mkuje Kupata Ukweli Mchungu Toka Moyoni Kuhusu sisi Wanawake



Nimekutana nayo Facebook Mwanamke akiwapa Ukweli Mchungu Wanaume;

Bila kupoteza muda naomba kuanza:

1.Wanawake wengi tunapenda size kubwa (nene na ndefu) ukiwa nayo wewe ni dhahabu.
2.Wanawake wengi tunapenda wanaume warefu, hatujali sana sura ila umbo lililojaa kidogo.
3.Tunawachukia masharobaro, yani hawa watu wanakera sana. Sharo akinitongoza nakula hela zake ila hapati ng'ooo maana hawana tofauti sana na sisi (wadada)
4.Kama wewe ni mwanaume usiyejali basi ukweli mchungu ni kuwa huwa tunawakumbuka ma ex hasa yule wakwanza/yule aliyekuzidi (rejea sifa no 1)
5. Tunapenda sana pesa ( usikubali mkeo ajenge urafiki na mwanaume mwenye pesa na anayeonekana kumjali)
6. Hatutabiriki.
Nimeamua niwape ukweli wote. Msinihukumu kwa hilo ila jitafakarini vinginevyo hakuna asiyependa vitamu.

By Rachel

Wanaume Mkuje Kupata Ukweli Mchungu Toka Moyoni Kuhusu sisi Wanawake Wanaume Mkuje Kupata Ukweli Mchungu Toka Moyoni Kuhusu sisi Wanawake Reviewed by Love Psychologist on March 14, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.