Sponsor

banner image

recent posts

Wanaume Tabia Hii ya Asili Inawaumiza Wanawake Wengi (Hit and Run)


First impression unamuwaza, unatamani ungepata nafasi penzi lako lote ulimalizie kwake,yaani hapa hata ATM card unaweza submit kwake. Ukishatupia swaga zako, kwa kujifanya very romantic, mtoto anakusikiliza unapima upepo unaona hapa niongeze nguvu fasta fasta plan za kula, bila kupoteza nafasi unageuka Messi ndani ya 6 box anakufunulia unakiona kile ulichokua unakijengea "image".

Sasa hapa ndio ulipomtihani na matarajio ya wanawake wengi,upendo ndo milango yake inakua imefunguka (kisaikolojia inasemekana mwanamke ndio anaanza kupenda) lakini kwa upande wa wanaume anakua ameshamaliza shughuli zamani kama hajaridhika hata angekua Miss World huyo msichana.

Mwishowe mwanaume anaweza kujilazimisha akarudia mara mbili,t atu ghafla mwanaume anaanza kubadilika kabisa no text ,no calls ,no transactions etc(hapa ndo utakuja kuamini kwanini dini, jamii nyingi zamani waliharamisha ngono kabla ya ndoa) tofauti na matarajio ya Dada ambaye ndo anakua kwenye page za mwanzo za "kitabu cha historia ya mapenzi yake".

Tafadhalini sana akina dada wasaka ndoa usijisikie vibaya sisi ndo tulivyo na nakuhakikishia inawezekana ukawa na ubora 100% sema tu tamaa ndo ilimfikisha hapo huyo mwanaume.Usikate tamaa wasiwasi wangu hata atakapokuja the destinied husband (soulmate) wako ambaye atakupenda unconditionally atakuja na style kama ya huyo jamaa aliyekukatisha tamaa akakubakiza na makovu.

Je mwanamke kama huyu atam trust mwanaume mwingine? Hapo ndo ule usemi unakuja "All men are the same" however who told u to test them. Ushauri wangu usikate tamaa you should always expect for good your marriage is nearly coming,huyo mtu aliletwa ili upate somo la kumpenda mumeo na kumuheshimu siku utakapoolewa.

THATS THE WAY IT IS

Siku njema wakuu
Wanaume Tabia Hii ya Asili Inawaumiza Wanawake Wengi (Hit and Run) Wanaume Tabia Hii ya Asili Inawaumiza Wanawake Wengi (Hit and Run) Reviewed by Love Psychologist on March 05, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.