Kwanini ukutane na mwanaume kimwili kabla ya ndoa kama siyo umalaya na uasherati wako unakusumbua? Wanawake mngekuwa mnajua kujitunza miili yenu hii dunia ingekuwa sehemu salama sana ya kuishi.
Mnajirahisisha mnoo, ndiyo maana wanaume wanawachezea watakavyo, sababu wanajua akisha kuchezea wewe atahamia kwa mjinga mjinga mwingine kama wewe naye pia atachezewa na kuachwa. Tena siku hizi mnachezewa kuanzia "vikojoleo" mpaka "vinyeo" na baada ya hapo mnaachwa.
Natumia maneno makali kidogo sababu nakerwa na hii tabia sana, sasa hivi ukiingia tu humu JF unakutana na threads kibao zikitulaumu sisi wanaume kuwa hatuna uaminifu, tuna tabia mbaya, tunatembea na beki tatu, tunatelekeza wake n.k. Lakini ukichunguza kwa makini wenye matatizo ni hawa hawa wanawake wenyewe.
Acheni ZINAA,...... siku wanawake mkijitambua na kuanza kujitunza, na wanaume pia watajitambua. Wataelewa thamani ya ndoa, lakini sasa hivi ndoa hazina thamani sababu wanawake mmekua bidhaa ya bei rahisi mnooo! Mmekuwa kama machungwa ya "Muheza" hata machizi wanajilia watakavyo. Kuweni kama "strawberries" ambazo ni ghali kuzipata na siyo kila mmoja anauwezo wa kula "strawberry" wengine wanazisikia na kuziona kwenye picha.
Msipobadilika mtaendelea kuwalaumu Wanaume wakati tatizo ni ninyi wenyewe. Wanawake badilikeni ninyi kwanza. Fanyeni "vikojoleo" vyenu kuwa ni sehemu ya mwili yenye thamani kubwa sana, fanyeni vikojoleo vyenu kuwa ni bidhaa adimu sana kupatikana, na hapo mtaona wanaume tutakavyokuwa na adabu kwenu. Mkibadilika na wanaume watabadilika pia.
Miili yenu ikiwa adimu, hata ndoa zitakuwa na thamani, itakuwa mwanaume akimpata mwanamke anatulia naye sababu atajua wazi kabisa huyu nikimpoteza kupata mwingine itakuwa tabu sana, tofauti na sasa hivi mtu akikuacha akipanda daladala hata kabla hajashuka ameshapata mwanamke mwingine wa kumchezea. Hata kabla ya jua kutua na siku kuisha tayari anakuwa ameshamvua nguo na yupo naye kitandani.
Hali hii ikiendelea Wanawake mtaendelea kulalamika na kulia lia humu bila mafanikio. Badilikeni, kuweni tofauti, ninyi ndiyo mmeshika mpini, wanaume wameshika makali, hamjui tu lakini mngejua hakika kila mwanamke angekuwa ni mwenye kuthaminiwa sana. Tatizo lenu ni kujirahisisha, mchawi wenu ni tabia zenu wenyewe, badilikeni!

Wanawake acheni kulaumu wanaume wakati tatizo ni ninyi wenyewe
Reviewed by Love Psychologist
on
March 18, 2019
Rating:
No comments: