Sponsor

banner image

recent posts

Yajue majina yanayoongoza kudumu na kutokudumu katika ama Mahusiano au Ndoa

Yajue majina yanayoongoza kudumu na kutokudumu katika ama Mahusiano au Ndoa



Kwa Utafiti wangu binafsi ambao niliangalia Vigezo vyangu vyote muhimu ambavyo huwa vipo ndani ya himaya ya Watu wanaopendana au walio katika Mahusiano au wale ambao ni Wanandoa kabisa nimegundua kwamba wenye majina yafuatayo ya Kiume na Kike huongoza na kutokuongoza kudumu katika ama Mahusiano au Ndoa.
Majina ya Wanaume ambao huongoza kudumu katika Mahusiano yao / Ndoa zao:
Benedict

Charles

Lucas

Samson

Erick

Martin

Antony

Majina ya Wanawake ambao huongoza kudumu katika Mahusiano yao / Ndoa zao:
Caroline

Lucy

Vicky

Grace

Angela

Anna

Elizabeth

Sasa Kazi ipo hapa kwa haya yafuatayo.......
Majina ya Wanaume ambao huongoza kuwa na Mahusiano mabaya / Ndoa kutokudumu ni:
Andrew

Emanuel

George

Peter

Fredrick

Pascal

Kelvin

Majina ya Wanawake ambao huongoza kuwa na Mahusiano mabaya / Ndoa kutokudumu ni:
Irene

Catherine

Suzanne

Vanessa

Brenda

Esther

Sarah

ANGALIZO.
Pongezi / Kongole pamoja na lawama / shombo zisielekezwe Kwangu moja kwa moja bali ziende katika Utafiti na sikumbuki ni lini nimewahi kufanya tafiti halafu ikakosea na ni vyema sasa Wapendao mkayajua mapema majina ya bahati na ya nuksi hapo juu ili msije mkali na kujuta mbele ya safari zenu za Kimahusiano.
Nawasilisha.
Usisahau kushare post hii. Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome

 

Yajue majina yanayoongoza kudumu na kutokudumu katika ama Mahusiano au Ndoa Yajue majina yanayoongoza kudumu na kutokudumu katika ama Mahusiano au Ndoa Reviewed by Love Psychologist on March 24, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.