Sponsor

banner image

recent posts

Ananisogezea nasogeza analeta tena, sitapanda tena DCM



Maisha ya Tanzania yetu haya,
Juzi nimetua bongo kwa likizo yangu.fupi, nikaamua nipande tu daladala, imejaa sana ,

Kuna mdada nilisimama naye ndani ya basi (ujue mtu ambaye hajazoea shida anaonekana ananukia unyunyu nini na ngozi haijabanwa na vyuma,)

Katika kusimama uko nahisi alijua hapa ngoja nimuwekee mtego wa mambo huyu mwanaume,

Nikasimama mkono nineshika juu watu wamejaa, akasimama kwa kuangalia upande mwingine, jeans yangu ilituna kwakuwa ana maumbile ya ajabu amejaza jaza nyama zile alizopewa na sub wana watahara ,

Nikageukia pembeni naye akageuza, aisee ndani ya suruali mambo yakawa siyo nikaangalia upande mwingine naye akaleta tako lake, aisee mnateseka mnoo,

Nikashuka naye akashuka sikujua lengo lake, nikakaa pub moja hivi ye akapiliza lakin baada ya dk 10 akaja kunywa maji pale pale, akasema "we mkaka nyota.zetu zitakuwa zinafanana maana tunakutana sana "

Nikawaza sijui nimtawanye, ikabidi tu tupange arrangement na appointment ya kukutana jumamosi nifanya upako,

Lakin nahisi hakuwa na nguo ya ndani kitu ndembe ndembe tepetepe

Sijui nimle
Ananisogezea nasogeza analeta tena, sitapanda tena DCM Ananisogezea nasogeza analeta tena, sitapanda tena DCM Reviewed by Love Psychologist on April 08, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.