Sponsor

banner image

recent posts

Baada ya kusalitiwa na mke wangu nimeamua yafuatayo



Wadau
Moja kwa moja kwenye mada. Baada ya kuthibitisha bila ya wasiwasi wowote kwamba mke wangu amekuwa si mwaminifu kwenye ndoa.

Pamoja na vikao vya kifamilia na baada ya kujaribu kumsihi sana kwamba akumbuke tuna watoto wa kulea halafu nikamwambia nitakuja kumfanya kitu kibaya yeye na huyo jamaa yake(ilikuwa serious na mipango ilikuwa njiani ya kukodi watu wa kazi)..

Kuna kipindi aliwahi kutubu sana kuwa nimsamehe ikapita muda mrefu nikagundua bado wanawasiliana na akawa kama anakiburi flani.

Baada ya kuona kwamba sasa tunakaribia kugawana majengo ya Serikali( mochwari na jela). Nikaona isiwe tabu,ili watoto wasiteseke zaidi, nikamuachia nyumba na watoto na tukakubaliana tuendelee kulea watoto.

Sasa nimeamua kulipiza kwa kugonga wake za watu bila huruma manake mwanzoni nilikuwa nikiwapotezea wakija dukani kwangu (vipodozi ,nguo ,urembo nk vya kina dada) wananichekea chekea ,nilikuwa nawapotezea sasa nitaanza kuwagonga rasmi

Nitaanza na wake za watu ambao waume zao wamehamishiwa Dodoma huwa wanajilengesha sana.

Nitachambua wale ambao hawahitaji kuhongwa sana nawakilisha. Mawazo mbadala yanakaribishwa pia.
Baada ya kusalitiwa na mke wangu nimeamua yafuatayo Baada ya kusalitiwa na mke wangu nimeamua yafuatayo Reviewed by Love Psychologist on April 17, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.