Sponsor

banner image

recent posts

BUJIBUJI's Love Theory, must read and practice ili usiumie moyo



Kwenye mapenzi nimejifunza, USIWEKEZE moyo wako kwa mpenzi wako, mapenzi yaweza kufa sekunde yoyote, Wekeza KUCHA Na nywele, maana hata vikikatika vitaota tena.
Moyo unauma. Moyo uko sensitive
Moyo wangu ni Mali ya Mungu,.
Maandiko Matakatifu yanasema. Mpende Mungu wako kwa moyo wako wote. Maana ni Mungu peke yake hawezi kujifunza moyo wako.
Ukipractice hii utajifunza kupenda kwa akili, ambako ni kupenda kwa tahadhari
BUJIBUJI's Love Theory, must read and practice ili usiumie moyo BUJIBUJI's Love Theory, must read and practice ili usiumie moyo Reviewed by Love Psychologist on April 18, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.