Sponsor

banner image

recent posts

HATARI: Mume Kamtegesha Mke Kwa Njemba ili Avute Hela ya Ugoni..Kilichotokea Hata Kaa Asahau

Hii muvi ilianza kuna jamaa alikuwa anafkuzia mke wa mtu bila kuchoka.
Mke akamwambia mume.wakashauriana waweke mtego matata wa kufumania ili mgoni abananishwe atoe pesa maana anazo!

Siku ikawadia mke akakubaliana na jamaa wakutane gesti kama kawaida wako ndani washavua kila kitu mara mara mwenye mke akavamia na jamaa yake ili wamtaiti mgoni!kumbe mgoni mjanja bana akawatolea bastola akawaamuru wafunge mlango afu akawaweka chini ya ulinzi na kuwafunga kamba alafu akaendelea kula mzigo mbele yao hadi akamaliza afu akawafungia wote humo ndani akasepa ..Jamaa akajikuta kakosa ela na mkewe katafunwa mbele yake.....
HATARI: Mume Kamtegesha Mke Kwa Njemba ili Avute Hela ya Ugoni..Kilichotokea Hata Kaa Asahau HATARI: Mume Kamtegesha Mke Kwa Njemba ili Avute Hela ya Ugoni..Kilichotokea Hata Kaa Asahau Reviewed by Love Psychologist on April 30, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.