Sponsor

banner image

recent posts

Haya ni ‘ maajabu ‘ ya Kipekee yaliyopo nchini India kama nawe unayajua ya nchi zingine tiririka na serereka nayo hapa tafadhali..



Kutokana na Uhaba mkubwa wa kupatikana kwa Vyoo nchini India na hasa ikiwa ndiyo nchi inayoongoza kwa Wakazi wake wengi kutokuwa na Vyoo huku wengi wao Vyoo vyao vikiwa ‘ havijulikani ‘ ikitokea tu umemtongoza Binti / Mwanamke wa Kihindi ( India ) kabla hajakukubalia swali la Kwanza huwa ni je Kwako kuna Choo? Ukijitusu tu useme hauna au sijui siyo imara au ukijiumauma jua ndiyo umeshamkosa hivyo na ukisema unacho au kipo hapo hapo atakuamuru mwende akakione na akikiona tu hapo hapo anakuvulia na ‘ Mbunye ‘ inakuwa Mali yako na inasubiri tu sasa utakaso wa ‘ Mkuyenge ‘ wako.

Hii ni ya nchini India hivyo kama na Wewe una ‘ maajabu ‘ mengineyo ya nchi zingine basi karibu tu utuhabarishe hapa ili tuweze kujua kwani binafsi napenda sana maajabu maajabu ya kutoka nchi mbalimbali hapa duniani.

Kwa hii taarifa sasa angalau nimeshajua kwanini maeneo mengi ya Upanga na Kariakoo 24/7 huwa yananukia ‘ Choo Choo ‘ tu kumbe ni tabia ya Kurithi kama siyo kuendeleza utamaduni wa ‘ Uchafu ‘ kutoka Bombay au Calcutta.

Nawasilisha.
Haya ni ‘ maajabu ‘ ya Kipekee yaliyopo nchini India kama nawe unayajua ya nchi zingine tiririka na serereka nayo hapa tafadhali.. Haya ni ‘ maajabu ‘ ya Kipekee yaliyopo nchini India kama nawe unayajua ya nchi zingine tiririka na serereka nayo hapa tafadhali.. Reviewed by Love Psychologist on April 09, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.