Sponsor

banner image

recent posts

Hii ni spesho kwa wanaume



Wadau hi
Go to the direct point.
Unataka kuoa ila unawanawake wawili kama wapenzi.
1.yeye anapenda hela na kuvaa vizuri na kutolewa out.
Yeye anapenda kununa kama humtoi
Ila kisa cha kutomwacha mkipiga game dah unafurahia mpaka basi.
2.Anajitahidi kimaisha hapendi kuomba kila kitu mpaka shida imgande ndio aongee.
Anakujali kiafya kimwili na kimaisha anakununulia nguo anakupenda ila kwenye gemu no sio dili kawaida tu.
Je kati ya hapa utajiriski kwa nani ili uoe???

Hii ni spesho kwa wanaume Hii ni spesho kwa wanaume Reviewed by Love Psychologist on June 29, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.