Sponsor

banner image

recent posts

๐Ÿ‘‰๐Ÿ˜ Jamaa alikuwa na tabia ya kutembea na binamu yake cheki kilichomkuta๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡✔

Jamaa alikuwa na tabia ya kutembea na binamu yake…. Alikuwa anasubiri mjomba na mkewe walale tu halafu ananyata mdogo mdogo mpaka chumbani kwa binamu yake. Siku moja umeme ulikuwa umekatika ikabidi aamue kuvua nguo kabisachumbani kwake…. Akanyata taratibua akafungua mlango akazama chumbani kwa mjomba ake bila kujua, ghafla umeme ukarudi… MJOMBA; we mshenzi umefata nini chumbani kwangu tena uko uchi JAMAA; nimekuja kukuaga kesho naondoka MJOMBA; ndo uje uchi? JAMAA; ndio kwasababu nimeshapaki kila kitu kwenye begi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘‰๐Ÿ˜ Jamaa alikuwa na tabia ya kutembea na binamu yake cheki kilichomkuta๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡✔ ๐Ÿ‘‰๐Ÿ˜ Jamaa alikuwa na tabia ya kutembea na binamu yake cheki kilichomkuta๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡โœ” Reviewed by Love Psychologist on April 01, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.