Sponsor

banner image

recent posts

Je, ipi ni adhabu halali kwa anaechepuka na mke wa mtu?



Kama kuchapiwa demu inauma mke je? Maumivu ake vipi hapo? 

Wengi humu  tunachukulia easy tu coz wengi humu hatujaoa hatukutani nayo, wanayokutana nayo wanajua uchungu.

Je, ni adhabu gani unafikiri ni halali kwa atakaekamatwa kama sheria itawekwa juu ya hili suala?
Je, ipi ni adhabu halali kwa anaechepuka na mke wa mtu? Je, ipi ni adhabu halali kwa anaechepuka na mke wa mtu? Reviewed by Love Psychologist on June 29, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.