Sponsor

banner image

recent posts

Jifunze hapa technics za kuwapata mademu kulingana na mazingira

Habari zenu watanzania, mnaendeleaje Na shughuli za kuchapa kazi tuu

Matumaini yangu ni kwamba hapa kuna ma expert wa Ku womanize ,yaan wanajua mpaka wanakela, akimsimamisha demu TU sekunde mbili anaye, lakin wengine wakienda wanagonga mwamba,

MAMBO ambayo husababisha muda wa kumpata mwanamke kuwa mrefu ni kutokana Na kukurupuka,

Kumbuka unavyokurupuka unamfanya asiangalie mazuri uliyo nayo(potentially) bali uyaona mabaya kwa haraka, either mvuto huna, au huna kimp anachotaka, au hela, Na Anaweza kutumia Vigezo hivyo kukukataa,

Je hujawahi ona mtu unayemzidi mvuto au unayemzidi hela amemchukua demu aliyekukatalia? Hiyo yote utonana Na mazingira waliyokutana mpaka kufika (equilibrium) yaan mioyo kupendana,

Hapa utapata kujua mwanamke unampataje kulingana yuko mazingira gani,

1. Mtoto geti Kali -mlokole ( mdada Mrembo)

Hawa wengi huwa hawako after ,Ila Jambo moja tu wanalopenda ni talent ya mtu, hasa talent Ile inaposifiwa Na wazazi wake, mara nyingi wakati wa chakula Cha jioni wazazi huzungumzia watu mbali mbali uko nje, hasa ukiwa kijana jirani Na nyumba Ile kuna mdada mlokole ambaye hajichanganyi sana kitaa fanya haya,

A. Kuwa smart mda wote, usiwe mtu wa hovyo kitaa, kuwa msemaji wa machache yasiyo Na maana Na mengi yenye maana yaliyochanganyika Na utani,

B. Jenga urafiki Na mzazi mmoja wako Na hata ikibidi wanapofeli masuala mbali mbali waone we unaweza itwa kusaidia katika kutatua either kama kunyanyua vitu, au kufunga chochote ,au kutatua matatizo ya kiufundi katika vitu mbali mbali, Na ukimaliza usikubali malipo iwe shukran tu,

C. Msome Binti yao anapenda nini hasa kama ni vitabu au matunda au chochote kijue alafu jipendekeze kuwa inapelekwa zawadi kwa mzazi ambaye umejenga uhusiano,

D. Usioneshe kupenda sana kumwangalia au kuulizia Binti yao alipo hapo utaaribu mjombaa tulia kwanza, alafu Cha kufanya we waponde sana vijana wasio Na maadili,
E. Katika mazungumzo yako quote maandishi ya wanafalsafa mbali mbali, ya kujenga , quote mistari ya biblia sana, Na uwe makini usidanganye,

F. Then anza kufuatilia huyo Binti huwa anatembelea maeneo gani, uko uko anza kujipitisha,

G. Tengeneza zengwe fake juu yake, tuma vijana au wadada ambao watajifanya hawakujui kumhalasi huyo Binti maeneo anapotembelea Ila wasimuumize au iwepo hali ya kutoelewana kwao we ujitokeze usovvu matatizo hayo ionekane una weledi Mkubwa, alafu hapo utakuwa ushamvuta, muarike kusali kanisani kwako, mtambulishe kama mgeni pale Na MTU wako wa karibu, (nadhani hapo mengine utajiongezaaa

2. Wadada wauza hotel
Uko ni simple we mpe tip TU Na Ku keep change hao ndo kila kitu wala usiangaike sana, then jua mshahara wake ,wengi ulipwa 200,000-500,000
Sasa Cha kufanya we mpe surprise ya 30% ya mshahara wake kuwa unataka makinikia kidogo baasii.

Tunaomba mtujulishe mbinu nyingine au uliyowahi kutumia ikazaa matunda ili watu wapate maufundi
Jifunze hapa technics za kuwapata mademu kulingana na mazingira Jifunze hapa technics za kuwapata mademu kulingana na mazingira Reviewed by Love Psychologist on April 30, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.