Sponsor

banner image

recent posts

Jinsi ya kumfanya mwanamke afurahie tendo la ndoa





Yafuatayo ni mambo tisa ya kumfanya mwanamke afurahie tendo la ndoa unapokuwa nae kwenye 6*6, kwanza jitahidi kumchezea ili aweze kukoja kabla ya kumwingilia. Wanaume wengi huwaandaa wanawake kwa lengo la kuhakikisha kuwa wametepeta kwenye uke, kwa maana ya kuwa wamelainika ili kuwawezesha wao kupenya kwa urahisi.

Lakini hawajui kuwa ukifanya hivyo utakuwa umemuacha juu juu bila ya kukojoa hatafurahi hata kidogo, ikiwa mwanaume utamfanya mwanamke akojoe kabla ya kumwingilia, utajiongezea nafasi ya kumfanya akuweke kuwa miongoni mwa wanaume bora maisha mwake ambao wameshawahi kutokea. Mbili vumbua maeneo mengine yenye kumsisimua.

Wanaume wengi tumezoea kuchezea ki**imi, matiti na kunyonya ulimi, inapaswa mwanaume ujitahidi kuvumbua sehemu nyingi sana za mwanamke ambazo zitamfanya hata akojoe. Inatakiwa mwanamke asikukariri kila siku unaanzia hapa then unakuja pale na mwisho kujamiana. Inaelezwa kuwa kuna maeneo zaidi ya 16 katika mwili wa mwanamke ambayo ukiyachezea vizuri unaweza ukamfanya akojoe.

ITAENDELEA......
Jinsi ya kumfanya mwanamke afurahie tendo la ndoa Jinsi ya kumfanya mwanamke afurahie tendo la ndoa Reviewed by Love Psychologist on April 09, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.