Sponsor

banner image

recent posts

Kituko cha Huyu Jamaa: Siku ya kwanza kupiga bao (ejaculate) nilisikia utamu sio wa nchi hii !!



Habari zenu


Leo nimeamua nifanye kushare na nyie moja ya stage ya maisha niliyoipitia.

Mimi ni kijana niliyelelewa maisha ya kidikiteta geti kali kwa sana,Basi nikikuwa na rafiki yangu wa kiume umri tulikuwa sawa.Sasa katika kupiga stori za mademu jamaa akaanza kunisimulia utamu wa kumwaga shawaha ukoje!!


Kwa jamaa alikuwa hana demu,mimi nikamuuliza umejuaje huo utamu wa kupiga bao? Mshikaji akaniambia unapiga punyeto nilishtuka maana sikuwahi sikia kabla neno punyeto.

Basi jamaa akaniambia kwanza lazima uwe na taswira ya demu unayemkubali kwenye ubongo wako na vitendea kazi yani sabuni basi unapaka kwenye dushelele linalosoma 4G,Unaanza kujichua mpaka upige bao.



Siku hiyo hiyo mwanaume nikarudi home nikafanya kama nilivyo elekezwa yani lilitoka bao moja tamu lenye msisimuko hatari kabisa yani mpaka leo hakuna bao lilofikia utamu wa lile la kwanza!!


Licha ya kusikia utamu ule baada ya dakika moja nikijutia na kujilaumu sana kitendo cha kunyetuka nikichokifanya,But mpaka sasa mimi ni mwanacha mtiifu wa CHAPUTA ila naamini nikishapata wife nitarudisha kadi ya chama kwa mwenyekiti wa chama.


karibu nawe utujuze ilikuwaje siku ya kwanza kupiga bao na nani alikufundisha nyeto.

Nawasilisha.
Kituko cha Huyu Jamaa: Siku ya kwanza kupiga bao (ejaculate) nilisikia utamu sio wa nchi hii !! Kituko cha Huyu Jamaa: Siku ya kwanza kupiga bao (ejaculate) nilisikia utamu sio wa nchi hii !! Reviewed by Love Psychologist on April 22, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.